News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Sunday, 12 February 2017

BAADA YA LUPANGO TID ATAMBULISHA KIFAA CHAKE ANGALIA PICHA ZAKE HAPA!!

              

Msanii mkongwe wa muziki TID ameamua kusahau yaliyopita na kuanza maisha mapya ikiwa ni siku chache toka aachiwe na mahakama kwa sharti la dhamana ya shilingi milioni 10 na kutakiwa kuripoti


 polisi kwa mwezi mara mbili baada ya kukiri kutumia Madawa ya kulevya pamoja na wenzake 12.
Muimbaji huyo ambaye alikaa lupango kwa siku tano kabla ya kuachiwa, amemtangaza mpenzi wake mpya ambaye jina lake halikutambulika mara moja.
“The Smile i needed to see after all the trouble i have been through. Million Dollar Smile, am i in Love again!,”aliandika TID Instagram huku akaiwa ameweka picha ya mrembo huyo hapo juu.
Aliongeza, “Watasema sana na kisha watalala kama kunipenda najua unanipenda sana ooohyeahhh,”.

Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment