News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Sunday, 15 January 2017

** VIDEO **STEREO AKUTANA NA CHEMICAL LIVE,AMPIGIA MAGOTI AOMBA .........

Rapa Stereo ambaye siku za karibuni aliweka wazi nia yake na hisia zake juu ya kuhitaji kwa udi na uvumba penzi la Chemical
 wameweza kukutana live kupitia kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na kituo rafiki na habari24radio cha  EATV kila Ijumaa kuanzia saa tatu usiku.
Rapa Stereo akipiga magoti kumuomba Chemical akubaliane na ombi lake.
Rapa Chemical na Stereo walikutanishwa pasipo wao kujua hivyo Stereo ilibidi aitumie nafasi hiyo kueleza hisia zake moja kwa moja kwa Chemical

Tazama video hii hapa uone jinsi mgumu Stereo anavyotema sumu kwa Chemical

Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment