Tukiwa tunaendelea na majaribio ya redio yetu tungeomba wasikilizaji wetu watupe maoni yao juu ya usikivu wetu kwenu tunajiamini lakini ni vizuri kusikia kutoka kwenu pia ushauri kutupongeza ni vitu ambavyo tunavitegea kwenu namba ya kutuma msg ni 0656 176261 msg only au unaweza ukatuma maoni kupitia kwenye redio pembeni kuna sehemu ya kuandikia maoni
endelea kupata burudani bila mipaka kutoka habari24radio BONYEZA HAPA KUISIKILIZA
0 comments :
Post a Comment