News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Thursday, 26 January 2017

TANGAZO MUHIMU KUTOKA TMKhabari24radio

BAADA YA MAOMBI YA WAPENZI WETU WA REDIO KUTAKA APPLICATION ITAKAYO WARAHISISHIA  UINGIAJI WA KUSIKILIZA REDIO NA KUSOMA HABARI KWENYE BLOG TUMEWALETEA APPLICATION AMBAYO ITAWARAHISISHIA KUINGIA KWENYE REDIO YAKO PENDWA AMBAYO NI GUMZO NOW HATA KABLA HAIJAANZA VIPINDI LAKINI IMEWASHIKA KIASI CHA WAMILIKI WA VITUO VINGINE KUTAKA KUMNUNUA
MKURUGENZI ILI AFANYE NAO KAZI  HII APPLICATION NI YA UTANGULIZI TU NA BADO HAIPO KWENYE GOOGLE PLAY STORE MUDA SI MREFU ITAINGIA HUKO NA WALE WA  APPLE MUDA SI MREFU APLICATION HII ITAWAHUSU  

APPLICATION INA MB 11 TU !!

 IKIKATAA NENDA KWENYE CM YAKO KABADILISHE SETING HAPA

           { allow install from other sources.}


         KU DOWNLOAD APPLICATION KWENYE SIMU BONYEZA HAPA
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment