News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Saturday, 14 January 2017

KWA MARA YA KWANZA LEO!! SINGELI KUSIKILIZWA USA,ENGLANG,GERMANY,RUSSIA,JAMAICA NA DUNIA NZIMA!!


Leo tarehe 14 januari Music wa singeli utapiga hatua kubwa mbele baada Radio ambayo ina wasikilizaji wengi duniani kwa njia ya mtandao itakapoanza kuupiga music huo Rasmi kutokana na
maombi ya wasikilizaji wake duniani kote kumbuka redio hii inapatikana ulimwengu mzima kwa njia ya mtandao kipindi cha SINGELI MICHANO!! kitakua leo saa 12:00 mchana  kwa saa za africa mashariki DJ GK HIM SELF atakaa kwenye mashine  kuwapa burudani mpaka itakapotimu saa 13:00 kitakapofuatiwa na kipindi cha MIXING ZA DJ CRAZY GK  nawatakia usikivu mwema kipindi chote ambacho tunaendelea na matangazo yetu tukiwa kwenye majaribio  ukiwa mwanamuziki tafadhali wasiliana nasi kwa simu 0656 176261 ili tuipandishe ndege nyimbo yako na kusikilizwa dunia nzima BONYEZA HAPA uisikilize habari24radio sasa
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment