News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Sunday, 18 December 2016

ZLATAN AWANYOOSHA WEST BROMWICH:MAN U IKIIPASUA WEST BROMWICH TAIRI ZA BODABODA 2-0 APIGA ZOTE MWENYEWE!!



Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic (kushoto) akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika za tano na 56 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Bromwich Albion usiku huu Uwanja wa The Hawthorns kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Anayemkimbilia kulia ni Jesse Lingard


Ibrahimovic's early header lands in the back of the net after a fine cross by Manchester United winger Jesse Lingard



WEST BROM XI (4-2-3-1):
 Foster 6.5; Dawson 7 (Morrison 74mins, 6), McAuley 5.5, Olsson 6, Nyom 5; Yacob 6, Fletcher 6; Brunt 6.5, Chadli 5 (Leko 82), Phillips 6 (Robson-Kanu 81); Rondon 6.5
Subs not used: Myhill, Gardner, McClean, Galloway
Booked: Dawson, Rondon, Brunt

MANCHESTER UNITED XI (4-2-3-1): 
De Gea 6; Valencia 7, Jones 7, Rojo 6.5, Darmian 5.5; Carrick 7, Herrera 7 (Smalling 92); Lingard 7 (Rashford 77), Pogba 7.5, Rooney 7 (Fellaini 84); Ibrahimovic 8.5
Subs not used: Romero, Blind, Mata, Martial

Booked: Ibrahimovic, Lingard, Rojo
Goals: Ibrahimovic 5, 56
Referee: Anthony Taylor 
Player ratings by Jack Gaughan 

Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment