News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Thursday, 15 December 2016

SHABIKI WA SUNDERLAND ANAEKUFA MWEZI UJAO ANAOMBA KADI YA KRISMAS KAMA ZAWADI KABLA YA MAUTI YAKE!!

anaitwa Bradley Lowery ni shabiki Mashuhuri wa timu ya Sunderland inayoshiriki Ligi kuu Uingereza...!Ana miaka 5tu na aligundulika  ana kansa (Neuroblastoma)akiwa na umri wa miaka miwili Tayari Madaktari wamethibitisha kua 



amebakiza miezi miwili ty kabla kansa haijakatiza pumzi yake na kuupeleka mwili wake futi sita chini ya Ardhi!! kuna kaburi liko wazi tayari likimsubiri Bradley..!! kitu chake cha mwisho alichokiomba Duniani ni zawadi ya kadi ya krismasi.Kadi tu inamtosha kukifanya kifo chake kuwa na amani.... wiki hii amepokea kadi zaidi ya 12,000 na zingine zinazidi kumiminika!!  
**WOTE TUTAKUFA ILA BRADLEY UMENIHUZUNISHA MNO**



 
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment