
KIUNGO wa Chelsea Oscar atakuwa mwanasoka anayelipwa mshahara mkubwa zaidi pale atakapohamia Ligi ya China mwezi ujao. Oscar yuko mbioni kukamilisha usajili wa pauni milioni 52 kwenda Shanghai SIPG mwezi Januari. Nyota huyo wa Kibrazil anatarajiwa kulipwa pauni 400,000 kwa wiki na kuwaacha mbali Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ambao kila mmoja anakula mshahara wa pauni 365,000 kwa wiki.



0 comments :
Post a Comment