News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Tuesday, 13 December 2016

chirstian Rolnaldo achukua tuzo ya mchezaji bora wa Dunia akimuacha Messi kwa mbali

Jumatatu ya December 12 2016 ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa nahodha wa timu ya taifa ya Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo, staa huyo wa Ureno December 12 ndio siku rasmi aliyotangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or 2016.
Baada ya ushindi huo wa tuzo ya nne ya Ballon d’Or, staa wa zamani wa FC Barcelonana timu ya taifa ya Brazil Ronaldinho ambaye amewahi kushinda tuzo hiyo mwaka 2005, ametumia ukurasa wake wa instagram kumpongeza Ronaldo kwa ushindi huo, Ronaldinho ametumia lugha ya kireno.
screen-shot-2016-12-13-at-5-13-58-am
“Hongera rafiki yangu Cristiano kwa ushindi wa tuzo hiyo ulistahili na kwa miaka ya hivi karibuni umekuwa na mafanikio makubwa, tuzo hiyo ni heshima kwa manufaa yako”
VIDEO: Ronaldo alivyokabidhiwa tuzo yake ya 4 ya Ballon d’Or 2016
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment