mpaka sasa mpira ni 0-0 na mpira unaonekana ni mkali na kila mmoja anataka kushinda lakini mpira unaonekana timu zote zimeingia na presha sana mpaka kuondoa ladha ya mpira kwa pande zote kipindi cha pili ndio kinakwenda kuanza mpira ukiisha tutakwenda kuwapa kwa kirefu hali halisi ilivyokua
dk 45 ARSENAL 0 MAN UNITED 0
0 comments :
Post a Comment