News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Sunday, 1 October 2017

BARCELONA YACHEZA BILA MASHABIKI; LAKINI YAMPASUA MTU "3G" MESSI AKITUPIA 2 PEKE YAKE!!

 The Spanish midfielder is congratulated by his team-mates after breaking the deadlock in the 49th minute on Sunday

Vurugu za maandamano zilizotokea nje ya Uwanja wa Camp Noun a katika mitaa kadhaa ya Jiji la Barcelona imesababisha mchezo kati ya Barcelona dhidi ya Las Palmas kuchezwa bila mashabiki.
            Lionel Messi tries to squeeze through a tight situation as he is surrounded by opposition Las Palmas players
Vurugu hizo zilitokana na maandamano ya kiasiasa ambapo kumekuwa na presha kubwa juu ya Jimbo la Catalunya ambapo ndipo ilipo Barcelona kutaka ijitenge na iwe taifa huru kutoka ndani ya Hispania.
 Thousands of spectators were left stranded outside the Nou Camp and unable to take their seats in the ground 
Polisi walitumia nguvu kubwa kuzuia maandamano hayo lakini hali ilikuwa ngumu na ilibaki kidogo mchezo huo wa La Liga usiishwe kuchezwa.
Home supporters congregate outside the Nou Camp as Barcelona's clash with Las Palmas goes ahead in an empty stadium
Lakini baada ya kushauriana kwa dakika kadhaaa  ndipo mchezo huo ukachezwa bila mashabiki kuruhusiwa kuingia uwanjani.
Pamoja na hivyo, Barcelona imepata ushindi wa mabao 3-0 wafungaji wakiwa ni Sergio Busquets aliyefunga katika dakika ya 49 pam oja na Lionel Messi aliyefunga mabao mawili dakika ya 70 na 77. 
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA Millionaire  Ads
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment