News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Wednesday, 27 September 2017

ROLNADO APIGA MBILI BALE AKIKANDAMIZA MOJA NA KUUFANYA UBAO USOMEKE REAL 3-1 DORTMUND




Pamoja na kusuasua katika La Liga, Real Madrid imeonyesha haitaki mchezo na Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Borussia Dortmund kwa mabao 3-1 ikiwa kwao Ujerumani.

Madrid imeshinda kwa mabao mawili ya Cristiano Ronaldo huku nyota wake mwinngine, Gareth Bale akifunga bao la kwanza.


Dortmund walionekana kujitutumua awali hata baada ya bao moja na Eric Aubameyang, walionekana kuchukua utawala katika sehemu ya kiungo lakini baadaye wakapoteza mwelekeo.







Real Madrid (4-3-3): Navas; Carvajal, Varane, Ramos, Nacho; Modric (Ceballos 91), Casemiro, Kroos; Bale (Vasquez 85), Ronaldo, Isco (Asensio 76).
Subs not used: Casilla, Hakimi, Llorente, Mayoral.
Goals: Bale 18, Ronaldo 49, 79
Booked: Carvajal, Modric, Bale

Borussia Dortmund (4-3-3): Burki; Piszczek, Sokratis, Toprak, Toljan (Dahoud 60); Gotze (Pulisic 76), Sahin (Weigl 60), Castro; Yarmolenko, Aubameyang, Philipp. 
Subs not used: Weidenfeller, Zagadou, Bartra, Kagawa.
Goal: Aubameyang 54

Booked: Toprak, Sahin






* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA* Millionaire  Ads
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment