News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Wednesday, 27 September 2017

LIVERPOOL YAAMBULIA SARE YACHOMOA NA KUFANYA UBAO UWE 1-1



Pasi nzuri ya Sadio Mane kwenda kwa Phillipe Coutinho imeisaidia Liverpool kuepusha aibu ya kipigo na kupata sare ya 1-1 dhidi ya Spartak Moscow katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Liverpool tayari ilishalala baada ya Fernando katika dakika ya 23 lakini Coutinho akafunga na timu kwenda mapumziko zikiwa sare ya 1-1.


Sare hiyo iliendelea kudumu hata baada ya mapumziko na hadi mwisho mwamuzi alipopuliza filimbi ya mwisho.






Spartak Moscow (5-4-1): Rebrov (Selikhov 68); Eshchenko Kutepov, Tasci, Bocchetti, Dzhikiya; Fernando, Pasalic, Samedov (Pedro Rocha 90), Popov (Melgarejo 84); L. Adriano
Subs not used: Petkovic, Bakaev, Samsonov, Davydov,
Goals: Fernando 23
Yellow cards: Bocchetti 46


Liverpool (4-3-3): Karius; Alexander-Arnold, Lovren, Matip, Moreno; Henderson, Can (Wijnaldum 73), Coutinho; Salah, Mane (Sturridge 70), Firmino
Subs not used: Mignolet, Flanagan, Klavan, Milnr, Oxlade-Chamberlain
Goals: Coutinho 30
Yellow cards: Can 7, Firmino 75
Referee: Clement Turpin 









* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA* Millionaire  Ads
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment